Dickson Mwijarubi
Member
- Mar 5, 2014
- 22
- 3
wewe hujaelewa. mdau alikuwa anamaanisha mbilia Bell alikuwa anasubiri kwa Yvone(hapo picha aliyoiweka) akimaanisha hamfikii kwa urembo wa yvone.Hapa umechapia mukuu ,huyu sio Mbilia Bell ...huyu Yvonne Chakachaka but sio kosa lako inawezekana wewe ni kizazi hiki cha division 5 au bongo flava...vijana wa zamani tulijienjoy sana na hivi vitu sio bongo flava diamond kiuno kigumu ndo eti star huyo....
wewe hujaelewa. mdau alikuwa anamaanisha mbilia Bell alikuwa anasubiri kwa Yvone(hapo picha aliyoiweka) akimaanisha hamfikii kwa urembo wa yvone.[/QUOTE
Nashukuru mkuu, kwa kunielewesha ni kweli nilikua sijamuelewa hapo...thanks.