Mwanamuziki mrembo aliyeshika Afrika

Mwanamuziki mrembo aliyeshika Afrika

Tyta Nimekukubali kwa Picha ..Hahaaa..Inawezekana hata yangu ukawa nayo.. 😉

1146617_470329979743988_1316794212_n.jpg
 
Mblia Mbeli nathubutu kusema haijawai tokea she is SECOND TO none!!!
 
Hapa umechapia mukuu ,huyu sio Mbilia Bell ...huyu Yvonne Chakachaka but sio kosa lako inawezekana wewe ni kizazi hiki cha division 5 au bongo flava...vijana wa zamani tulijienjoy sana na hivi vitu sio bongo flava diamond kiuno kigumu ndo eti star huyo....
wewe hujaelewa. mdau alikuwa anamaanisha mbilia Bell alikuwa anasubiri kwa Yvone(hapo picha aliyoiweka) akimaanisha hamfikii kwa urembo wa yvone.
 
wewe hujaelewa. mdau alikuwa anamaanisha mbilia Bell alikuwa anasubiri kwa Yvone(hapo picha aliyoiweka) akimaanisha hamfikii kwa urembo wa yvone.[/QUOTE
Nashukuru mkuu, kwa kunielewesha ni kweli nilikua sijamuelewa hapo...thanks.
 
Back
Top Bottom