Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo wapenda kuingilia makhabati ya watu lazima kiwashuke! Kwanza mtu keshamaliza robo debe la nyembe kunyolea mavu.zi halafu unamuita mtoto... aaaaaaargh, kweli tunawaonea bhana!Hahahaa tena kasema kama mtoto angekuwa anasoma primary au bado angekuwa anaenda clinic, kama kote huko kapita basi mtu mzima huyooo....
Akasema mtu akidate mtu mzima utasikia oooh mzee, babu, Mtu mzima kwani anavunja nazi kwa ugoko? anapiga danadana kwa kisu, au anaoga katikati ya ikuluuu???? Hahahaaa mzee kwani namshikia mkongojo....
Kasema waacheni watu wapendane....
Hapo wapenda kuingilia makhabati ya watu lazima kiwashuke! Kwanza mtu keshamaliza robo debe la nyembe kunyolea mavu.zi halafu unamuita mtoto... aaaaaaargh, kweli tunawaonea bhana!
Sasa hiv ni mwendo wa friend with benefit tu diamond kamtumia wema kibiashara sasa ni zamu ya uwoya kutumika
Ukitaka ku-anticipate umri wa wasanii wetu basi waambie wanamegwa na vibabu! Bi Shost atakuambia... hamna bwana, maneno ya watu tu hayo; wala hatujapishana sana... yule ana miaka 38 mimi n'na miaka 32... yaani keshasahau kwamba alikuwa anadai she's 26!
Le Mutuz sio kibabu bali ni Old Boy!Kwahiyo mkuu sisi wenye umri huo tayari mnatuita vibabu? Na Le Mutuz mnamuitaje?
Kweli tena...kama hakojoi nje...aah mtu mzima huyooo....
mine ndoa sio mavuzi mpaka chizi anayoo!!!
wengine s wakuolewa!!
sema wanaume wanabugi tu!&
Mbona wasiwasi.............:evil::evil:Kujua jinsia yangu inahusiana vipi habari niliyoweka? Act your age dude.
Wasiwasi pia akili hayo mapovu yote ungeyasave kwaku UNLIKE.aliyesema umbea ni sex based nani??wewe kama umbeya umekuingia changia upite vile
hahahaha et ule utoto tu jamani na bad influence ndo umesababisha ndoa yake ivunjike
Wasiwasi pia akili hayo mapovu yote ungeyasave kwaku UNLIKE.
Kweli kuwa ndoani ni kipaji au mumewe kafilisika?