Mwanamuziki Mzee Njenje wa Kilimanjaro band, afariki dunia

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Posts
5,551
Reaction score
2,153
Nimepokea kwa Mshituko mkubwa Kifo cha Mzee Mabrook maarufu.Babu Njenje kilichotokea usiku wa kuamkia leo

======

Mkongwe wa Muziki wa Mduara MZEE NJENJE, aliyekua mmoja wa wanaounda Kundi la Kilimanjaro Band 'Wana Njenje' amefariki dunia alfajili ya leo.

RIP Babu Njenje.
 
Apumzike kwa amani mzee wetu, namkumbuka alikuwa Kilimanjaro band kama sikosei
 
Huyu mzee ndio yule wa wananjenje ?
Basi mkiwa mnapost habari kwa mara ya kwanza rudieni tena kuifanyia editing taratibu na kuweka taarifa zote muhimu kwa sababu hakun tena atakae wahi kupost baada ya hako bali tutabaki kucomment tu.
 
dah !!! apumzike kwa Amani,mara ya mwisho kumsikia alikua anaumwa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…