Mwanamuziki Mzee Njenje wa Kilimanjaro band, afariki dunia

Mwanamuziki Mzee Njenje wa Kilimanjaro band, afariki dunia

Aligombea uhuru!!, Tunamuomba mzee wetu Mohamed Said atupe wasifu wa marehemu kwa faida ya kizazi hiki cha leo,

Innalillah wainna illah raji'un.
 
Laambwa...laambwa lambwatika...maharage yapo jikoni nimeshayapika, nangojea sukari ya Bwana haijafika.....

Bijou, bijou,bijou....

Ila kuna siku alihojiwa akiwa kwake, Mzee alikuwa anaishi maisha mazuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupendane
Gere
Ndembele
Kachiri

Hii band ilikua nyoko sana

Back
Top Bottom