Mwanamuziki na muigizaji Ludacris ameamua kurudi nyumbani

Bangi mbaya sana,
 
Mmarekan asielewe accent ya wati wa atl?? Hapo sijaelewa bro..yaani kama mtz asielwe kiwahili cha watu wa moshi etc [emoji854][emoji854]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmarekan asielewe accent ya wati wa atl?? Hapo sijaelewa bro..yaani kama mtz asielwe kiwahili cha watu wa moshi etc [emoji854][emoji854]

Sent using Jamii Forums mobile app

we umewah kuwasikia wale watu wa arusha wanavyoongea unawaelewaga alafu kwa madai yao kile ni kiswahili? yan ukiacha accent hata maneno wanayotumia ni tofauti mkuu...


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mmarekan asielewe accent ya wati wa atl?? Hapo sijaelewa bro..yaani kama mtz asielwe kiwahili cha watu wa moshi etc [emoji854][emoji854]

Sent using Jamii Forums mobile app

Nenda you tube katafute interview ya rich the kid alikua anahojiwa na Rackel au andika the rack rant, sijui kama nimepatia spelling kuna sehemu rackel anaulizwa kabisa do you understand anatoa macho na ni mtangazaji mmarekan, and that video went viral sababu hiyo hiyo, alafu kasome comment session uone watu walivyoenda chaka vitu alivyokuwa anaongea rich the kid, watu wanaongea kingereza icho icho ila maana tofauti, nenda pia kasikilize interview za YG ukiweza kuelewa yote we bingwa, go listen to Young Thug alafu ndio utajua kuwa hata bloods nao wanalugha zao za kishenz,


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi St Louis lilikuwa koloni la mfaransa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wanafiki tu stive harvey ndio mkweli yeye katuchana live kuwa hawezi kuja kuishi africa kuna mapori ya ajabu hata hamuwezi kupishana sio tu na gari hata kwa kutembea mkikutana kuna sauti zisioleweka za manyani msituni kuna nyumba zisizo na umeme hakuna internet etc sa maisha gani hayo.unatembea unakanyaga nyoka na umande kulowanisha nguo ?? Big up stive harvey wewe ni real niga sio.hao wanaotuchora
.
 
Hahah kama harvey amesema hivyo big up sana kwake,unafiki kwake hakuna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…