Mwanamuziki Nandy: Pesa ya Kununua Gari yangu hii ya Kifahari ingekuwa ni ya Kula ningetumia Tsh Laki Moja kila Siku kwa Miaka 60 ijayo

kwa kigezo gani unasema nandy ni tajiri,,,japokua ni mpare mwenzangu ila kama ni hela anayo ile ya kubadilishia mboga tu,ya kununua gari ya billion 2 hawez kua nayo
 
GARI LENYEWE NI RANGE.
NI GHARI KALI KWELI LAKINI HAIFIKI HATA MILIONI 700, KWASABABU RANGE ROVER HAWAJAWAHI KUTOA TOLEO LA GARI LINALOZIDI MILIONI 600.
HATA UKIINGIA GOOGLE KUTAZAMA BEI ZA MAGARI YA RANGE LA MWAKA HUU, HALIZIDI MILIONI 600. HIVYO ASIISHUSHE PESA THAMANI KIASI HICHO HATA KAMA ANAZO.
 
Mama nandela katuzidi maendeleo ni kweli Ila mungu hakupi vyote, vyombo vyake vibaya Kama vya sisi tu, kaja Kofi mihotpot Kama ya kwangu, watu wamemsema sema, labda kabadilisha tayari.
 
Hata ukitaka baiskeli customized wanaweza wakakutengenezea accordingly kwa gharama yoyote ile hata ukitaka gharama ya kuwalipa milioni kwa siku...

Ila ndio hivyo hapo mjanja ni nani yule aliyekupa bei ya ajabu au mwingine aliyeweza kupata kile kile kwa gharama ya peanuts...

Its all in the marketing and promotion (uki-place product yake kwamba ni exceptional binadamu ambao wengi ni vain watakuja tu)....
 
Wakiumwa wanaomba Msaada Sana huku mtandaoni wanaishi maisha ya showoff
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…