Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukitaka kukauza nijuzeKangu vitz number B kanatoa moshi lakini nawahi shughuli zangu kabisaaa
Wakiumwa wanaomba Msaada Sana huku mtandaoni wanaishi maisha ya showoffWengine mna tuvigari twenu twa Shilingi Milioni Tatu hadi Saba huku Mikopo ya Kulipia mkiwa bado hamjamaliza mkiwa mitaani Mnaringa na kujiona ni Matajiri na Maisha mmeshayapigia Denge Kimafanikio wakati kumbe bado ni Njaa Kali ( Kapuku ) kama GENTAMYCINE.
Halafu kwa Uchoyo wa Lifti mnaongoza na Gari zenu huwa hamzifanyii kabisa Usafi hadi Mende, Panya na Mijusi ya Balangulu huwa Wanazaliana.
Nandy akiringa ni sawa tu kwani Kweli anazo ( ni Tajiri ) kama alivyosema Mwenyewe kuwa anamiliki Gari ya Bei mbaya ( ya Gharama ) ambayo Pesa aliyoinunulia kama angesema aitumie kwa Matumizi yake ya Nyumbani ( ya Chakula ) basi angetumia Shilingi Laki Moja kwa kila Siku kwa muda wa Miaka 60 ijayo.
Kudadadeki............. Shikamoo Nandy!!