Mwanamuziki Nandy: Pesa ya Kununua Gari yangu hii ya Kifahari ingekuwa ni ya Kula ningetumia Tsh Laki Moja kila Siku kwa Miaka 60 ijayo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Wengine mna tuvigari twenu twa Shilingi Milioni Tatu hadi Saba huku Mikopo ya Kulipia mkiwa bado hamjamaliza mkiwa mitaani Mnaringa na kujiona ni Matajiri na Maisha mmeshayapigia Denge Kimafanikio wakati kumbe bado ni Njaa Kali ( Kapuku ) kama GENTAMYCINE.

Halafu kwa Uchoyo wa Lifti mnaongoza na Gari zenu huwa hamzifanyii kabisa Usafi hadi Mende, Panya na Mijusi ya Balangulu huwa Wanazaliana.

Nandy akiringa ni sawa tu kwani Kweli anazo ( ni Tajiri ) kama alivyosema Mwenyewe kuwa anamiliki Gari ya Bei mbaya ( ya Gharama ) ambayo Pesa aliyoinunulia kama angesema aitumie kwa Matumizi yake ya Nyumbani ( ya Chakula ) basi angetumia Shilingi Laki Moja kwa kila Siku kwa muda wa Miaka 60 ijayo.

Kudadadeki............. Shikamoo Nandy!!
 
Abebe pochi original sasa!
 
mwingine ni ushamba tu mwenye ist na gari ya bilioni wote si wana magari?😄😄 tusitishane
Naona sasa tusio na Gari kabisa na wenye Gari za Bei ya Mtaji wa Mkaa wa Kibada Shilingi Milioni Tatu tumekasirika mno na hii Taarifa ya Nandy aliyetuzidi Utajiri na Mafanikio.

Kudadadeki Shikamoo Nandy wa Watu.
 
Anatumia sanaa ya 'game' kuwa top; ndivyo mziki ulivyo, lasivyo atasahaulika.

Back
Top Bottom