Mwanamuziki Nandy: Pesa ya Kununua Gari yangu hii ya Kifahari ingekuwa ni ya Kula ningetumia Tsh Laki Moja kila Siku kwa Miaka 60 ijayo

Acha mbwembwe za kishamba weka picha ya gari

Uone kama hujaaibika Sasa hivi!
Naona sasa tusio na Gari kabisa na wenye Gari za Bei ya Mtaji wa Mkaa wa Kibada Shilingi Milioni Tatu tumekasirika mno na hii Taarifa ya Nandy aliyetuzidi Utajiri na Mafanikio.

Kudadadeki Shikamoo Nandy wa Watu.
 
kwa bongo ukimiliki gari tayari una mafanikio wenzetu mbele ni kitu cha kawaida sana
Naona sasa tusio na Gari kabisa na wenye Gari za Bei ya Mtaji wa Mkaa wa Kibada Shilingi Milioni Tatu tumekasirika mno na hii Taarifa ya Nandy aliyetuzidi Utajiri na Mafanikio.

Kudadadeki Shikamoo Nandy wa Watu.
 
Wengine mna tuvigari twenu twa Shilingi Milioni Tatu hadi Saba huku Mikopo ya Kulipia mkiwa bado hamjamaliza mkiwa mitaani Mnaringa na kujiona ni Matajiri na Maisha mmeshayapigia Denge Kimafanikio wakati kumbe bado ni Njaa Kali ( Kapuku ) kama GENTAMYCINE.

Halafu kwa Uchoyo wa Lifti mnaongoza na Gari zenu huwa hamzifanyii kabisa Usafi hadi Mende, Panya na Mijusi ya Balangulu huwa Wanazaliana.

Nandy akiringa ni sawa tu kwani Kweli anazo ( ni Tajiri ) kama alivyosema Mwenyewe kuwa anamiliki Gari ya Bei mbaya ( ya Gharama ) ambayo Pesa aliyoinunulia kama angesema aitumie kwa Matumizi yake ya Nyumbani ( ya Chakula ) basi angetumia Shilingi Laki Moja kwa kila Siku kwa muda wa Miaka 60 ijayo.

Kudadadeki............. Shikamoo Nandy!!
Na wewe ulivyo popoma unaamini hao wabongo fleva hua wakiumwa wanatuomba michango ya kupelekwa India si watumie hizo pesa zao mbona hua wanaomba michango
 
Siku zote naandika humu kuwa huyu jamaa huwa ni mshamba sana..sasa unakuja kutuandikia wanaume uongo wa nandy..huyo muuzaji wa kidigitali ana miliki gari ya 2.16B? Kabla hujaandika hebu reason kwanza bas acha upopoma
 
Asingelisema hivyo, asingejadiliwa; kwa hiyo alisema hivyo ili kuvuta umakini wa watu, na hiyo ni biashara
 
Picha

Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
 
Ndo ile Range yake? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nandela atuache kwan bhana, khaaah
 
Back
Top Bottom