Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Kazi za watu zipo tu. Raha jipe mwenyewe mrembo KasieUsiimbe banaa ntaacha kazi za watu nianze kucheza mziki.
Kazi za watu zipo tu. Raha jipe mwenyewe mrembo Kasie
Mimi Nitakuwa dadii yako wa next doorHahahahaha Dadii atanichapa...
Tanesco bana haichagui una mihela au kabwela maadamu mhogo wako unafanya kazi iliyopangiwa kuruka Tanesco ni mtihani sana,kwani ni kama mtego wa panya huingia na wasiokuwemo.Ila nae kala maisha wacha apumzike.Wenzake wote aliokuwa pamoja mwanzoni wote walisombwa na Tanesco ,akawa kabaki yeye tuTaarifa za kusikitisha kutoka nchini Zimbabwe, Mwanamuziki nguli, Oliver Mtukudzi amefariki dunia
Amefariki jioni ya leo katoka Kliniki ya Avenues Jijini Harare alikokuwa akitibiwa
======
The iconic 66-year-old musician, nicknamed Tuku, had been struggling with his health for over a month.
Musician Oliver Mtukudzi has passed away, according to multiple news sources in Zimbabwe.
A tweet was initially sent out by Zimbabwean publication Masvingo Mirror.
According to the tweet, the publication “has it on good authority that he died two hours ago in the ICE at Avenues Clinic in Harare”.
The musical icon’s death has since also been reported in NewsDay as well as Health Times, who reported that the death has been confirmed by a reliable family member.
The 66-year-old musician, nicknamed Tuku, had been struggling with his health for over a month.
No statement has been released yet by the family and the cause of Mtukudzi’s death is not yet known.
Tributes have already begun pouring in on social media.
As well as possibly the country’s best-known musical export, Mtukudzi was a businessman, philanthropist, human rights activist and UNICEF Goodwill Ambassador for Southern Africa Region.
He released 58 albums.
Source: Zimbabwean music legend Oliver Mtukudzi dies
WASIFU WAKE KWA UFUPI
Wengi wanamfahamu kutokana na umahiri wake mkubwa katika medani ya muziki, utambulisho
wake mkubwa ukiwa ni sauti yake nzito na ya kipekee. Yafuatayo ni mambo kumi kuhusu msanii huyu.
1. Alizaliwa Septemba 22, 1952 katika eneo la mashambani la Highfield, Salisbury, Zimbabwe na kukulia huko. Anafahamika kwa jina la utani la Tuku.
2. Mbali na muziki, Mutukudzi pia ni mfanyabiashara, mwanaharakati wa haki za binadamu na balozi wa UNICEF Kusini mwa Bara la Afrika.
3. Alianza kutambulika zaidi kimuziki baada ya kuingia katika Kundi la Wagon Wheels mwaka 1977, akiwa na wenzake kadhaa, akiwemo Thomas Mapfumo.
4. Anaimba muziki wake katika lugha tatu, Kishona, Kindebele na Kiingereza na huchanganya ala za muziki wa kiasili kwenye nyimbo zake, jambo lililompa umaarufu mkubwa dunia nzima.
5. Tofauti na wenzake katika Kundi la Wagon Wheels waliokuwa wakimuimba vibaya Rais Robert Mugabe, Mutukudzi amekuwa akimsifia sana na kusababisha anufaike kwa misaada mbalimbali kutoka serikalini.
6. Mutukudzi ni baba wa watoto watano na mpaka sasa ana wajukuu wawili. Watoto wawili kati ya hao, ni wanamuziki.
7. Mwaka 2010, mwanaye kipenzi, Sam Mutukudzi ambaye naye alikuwa mwanamuziki, alifariki dunia kutokana na ajali mbaya ya gari.
8. Mutukudzi amekuwa akidaiwa mara kwa mara kwamba ni muathirika wa ugonjwa wa Ukimwi ingawa mwenyewe amekuwa akikanusha vikali madai hayo.
9. Kati ya wasanii wenzake waliokuwa wakiunda kundi la Wagon Wheels, ni yeye pekee aliyebakia hai hadi leo. Wenzake wote wamekufa kwa Ukimwi.
10. Hivi karibuni, mashabiki wake nchini humo walipatwa na mshangao mkubwa baada ya kitabu kiitwacho Tuku Backstage kuvuja kikiwa na kashfa nyingi za ngono zinazomhusu gwiji huyo, mwandishi akiwa ni Shepherd Mutamba.
Kwenye kumbi za sherehe kama harusi unapigwa na kuchezwa sana bila watu kujua maana yake.Chorus:
Hooo todini senzeni
what shall we do
What shall we do , tingadii
Senzenjani, what shall we do what shall we do
Zvinorwadza sei kurera rufu mumaoko how painful it is to look after someone u know is gonna die
Kana uinawo utachiwana
when they have AIDS
Zvinorwadza sei kuchengeta rufu mumaoko this person has gotten something that will lead to their death
Kana uinawo utachiwana
when they have AIDS
Bva zvamabata pamuviri pasina raramo death has been made manifest
Kana uinawo utachiwana
when they have AIDS
Bva zvapatumbuka pamuviri pasina raramo this is a condition that will not spare them
Kana uinawo utachiwana
when they have AIDS
(Chorus)
Senzeni
what shall we do
Tingadii
what shall we do
What shall we do
(chorus)
Zvinorwadza sei kubhinywa ewaugere naye, how painful it is for the person you live with to murder you
Kana uinawo utachiwana
when they have AIDS
Zvinorwadza sei kubhinywa neakabvisa pfuma how painful for the one who paid your bride price to kill you
Kana uinawo utachiwana
when they have AIDS
Achiziva unahwo hutachiwana when they know they are infected
Kana uinawo utachiwana
when they have AIDS
Ende uchiziva Unahwo utachiwana when they have AIDS
Kana uinawo utachiwana
when they have AIDS
(chorus)
Seri kweguva hakuna munamato varume tapererwa (utachiwana) there is no repentence or turning back afetr death
Dondipaiwo mazano we have run out of ideas
Kana uinawo utachiwana
Seri kweguva hakuna munamato varume tapererwa (utachiwana) there is no repentence or turning back afetr death
Dondipaiwo mazano we have run out of ideas
Kana uinawo utachiwana when they have AIDS
Seri kweguva hakuna muteuro mambo tapererwa (utachiwana)
Dondipaiwo mazano we have run out of ideas
Kana uinawo utachiwana when they have AIDS
Seri kweguva hakuna muteuro mambo tapererwa (utachiwana) there is no repentence or turning back afetr death
Dondipaiwo mazano we have run out of ideas
Kana uinawo utachiwana when they have AIDS
Seri kweguva hakuna munamato varume tapererwa (utachiwana) there is no repentence or turning back afetr death
Dondipaiwo mazano we have run out of ideas
Kana uinawo utachiwana when they have AIDS
Seri kweguva hakuna muteuro mambo tapererwa (utachiwana) there is no repentence or turning back afetr death
Dondipaiwo mazano we have run out of ideas
Kana uinawo utachiwana when they have AIDS
(chorus)
Sent using Jamii Forums mobile app