Mwanamuziki Nguli Oliver Mtukudzi afariki dunia

Mwanamuziki Nguli Oliver Mtukudzi afariki dunia

Hivi Oliver Ngoma ni Mkongo??

Napenda wimbo wake wa Lusa.
Ni Gabonese Ngoma na yeye alienda kwa ngoma. Afrika ngoma imechukua miamba mingi sana ya muziki. Kuanzia Franco e.t.c HIV why? Unachukua afrika tu? Hadi Freddie mercury Mshindi Grammy award wa yule msanii mzanzibar alie na vocal range sawa na ya Michael Jackson nae goma halikumuacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rest in peace. Kuna wimbo wake mmoja unaitwa neria ni wa majonzi majonzi
 
Back
Top Bottom