Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naomba kama unayo Todi ipandishe hapa jukwaani.
Acha kuwatukana wenzio kwa lugha zinazofahamika zaidi somaliaInnalillah wainnailillah raijuun, nakumbuka wimbo wake wa Neria ni mzuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
kwahyo hamna hata nyimbo moja umewahi kuiona ama kusikiliza
Hahahaha
[emoji23] kasie maneno yako bna
Haya tutume na sisi clip tuone ukicheza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi kwako..... hii nimeiweka kwa kuibia Dadii akiiona hapa itakuwa hatari tupuu.
Hiyo clip ni miaka 10 iliyopita wakati huo bado niko machachari hatariii
Huyu mzee alikiwepo siku ya tukio Nyani Ngabu
Fak yu
Ni Gabonese Ngoma na yeye alienda kwa ngoma. Afrika ngoma imechukua miamba mingi sana ya muziki. Kuanzia Franco e.t.c HIV why? Unachukua afrika tu? Hadi Freddie mercury Mshindi Grammy award wa yule msanii mzanzibar alie na vocal range sawa na ya Michael Jackson nae goma halikumuacha.Hivi Oliver Ngoma ni Mkongo??
Napenda wimbo wake wa Lusa.