Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooh RIP my hero!
Alikuja hapa Dar mara mbili psle Serena, na mara zote nilienda kumuona!
RIP Oliver Mutzukuzi
Nadhani mtaleta picha yakeHabari kutoka Zimbabwe ni kuwa mwanamuziki maarufu Oliver Mtukuze amefariki dunia. Mtukuze amefariki Leo mchana ktk hospital moja jijini Harare akiwa na miaka 66.
Ugonjwa uliomuua haukutajwa japo afya yake imekuwa ikizorota kwa muda mrefu.
Chanzo: BBC
Nakumbuka filamu ya Neria, na ule wimbo wake Neria.