Mwanamuziki nguli wa Cameroon Manu Dibango afariki kwa Corona

Mwanamuziki nguli wa Cameroon Manu Dibango afariki kwa Corona

Namkumbuka kipindi kile cha Nani zaidi,Radio one. Waliwahi kupambanishwa na yule mwenzie...
 
Mwanamuziki wa Jazz na mpiga Saxophone kutoka Cameroon, Emmanuel N'Djoke Dibango (86) maarufu ‘Manu Dibango’, amefariki leo asubuhi akiwa jijini Paris baada ya kupata maambuzi Covid 19

Atakumbukwa kwa wimbo wake wa Soul Makossa.

ZAIDI SOMA
Emmanuel N'Djoke Dibango, known as Manu Dibango, saxophonist and Franco-Cameroonian singer of world jazz, gestures to the crowds during his concert on June 29, 2018 at the Ivory Hotel Abidjan.

Cameroon-born jazz singer and saxophone player Manu Dibango has died from a coronavirus infection, according to a statement on his official Facebook page on Tuesday.

“It is with deep sadness that we announce the loss of Manu Dibango, our Papy Groove, who passed away on 24th of March 2020, at 86 years old, further to covid 19,” it said.


Source: Citizen TV
Extension
Huyo nae hana tofaut na wanaume wa dar, unakufa kwa corona.
 
Je unajua kuwa Aurlus Mabele naye Corona ilimuua???
Huyu nilisikia kafa nikasiktika tu ila kama ni kafa kwa korona sikujuwa na hii imechangiwa na Mimi kukosa imani na vyombo vya habari vya bongo hata kama nikisikiliza nadhani ni utakatishaji Wa matatizo yetu awamu hii vyombo vya habari vya bongo vimefanya nisivisikilize labda nikifungua radio nisikie radio inasema MR MABAKULI shikamoo nitasikiliza
 
Namkumbuka kipindi kile cha Nani zaidi,Radio one. Waliwahi kupambanishwa na yule mwenzie...
Huyu jamaa ni nguli kweli hebu sikiliza wimbo wake Wa mwaka 1972 unaitwa new bell anachosema kwenye wimbo huo naona kama yanatokea siku hizi 2020
 
Back
Top Bottom