Mwanamuziki nguli wa Cameroon Manu Dibango afariki kwa Corona

Namkumbuka kipindi kile cha Nani zaidi,Radio one. Waliwahi kupambanishwa na yule mwenzie...
 
Extension
Huyo nae hana tofaut na wanaume wa dar, unakufa kwa corona.
 
Je unajua kuwa Aurlus Mabele naye Corona ilimuua???
Huyu nilisikia kafa nikasiktika tu ila kama ni kafa kwa korona sikujuwa na hii imechangiwa na Mimi kukosa imani na vyombo vya habari vya bongo hata kama nikisikiliza nadhani ni utakatishaji Wa matatizo yetu awamu hii vyombo vya habari vya bongo vimefanya nisivisikilize labda nikifungua radio nisikie radio inasema MR MABAKULI shikamoo nitasikiliza
 
Namkumbuka kipindi kile cha Nani zaidi,Radio one. Waliwahi kupambanishwa na yule mwenzie...
Huyu jamaa ni nguli kweli hebu sikiliza wimbo wake Wa mwaka 1972 unaitwa new bell anachosema kwenye wimbo huo naona kama yanatokea siku hizi 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…