Mwanamuziki Prezzo kutoka Kenya amelazwa katika Hospitali ya Karen baada ya kunyweshwa dawa na kubakwa na wanawake watatu. Mwenywe akanusha vikali

Mwanamuziki Prezzo kutoka Kenya amelazwa katika Hospitali ya Karen baada ya kunyweshwa dawa na kubakwa na wanawake watatu. Mwenywe akanusha vikali

Status
Not open for further replies.

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Posts
16,908
Reaction score
19,123
Mwanamuziki wa kutoka Nairobi Jackson Ngechu Makini maarufu kama 'Prezzo' anadaiwa kufikishwa katika Hospitali ya Karen baada ya kudungwa sindano yenye dawa za kulevya kisha kubakwa na kundi la wanawake katika chumba cha hoteli inayopatikana katika Jiji la Nairobi.

Aidha, taarifa kutoka polisi zinaeleza kuwa wanawashikilia wanawake watatu Vivian Mutheu, Patricia Nduta na Ruth Muchana wanaohisiwa kuhusika na uhalifu huo.


Prezzo_.jpg

====
Nairobi. Kenyan rapper and former Big Brother Africa contestant Prezzo is said to be recuperating at Karen hospital after he was drugged and gang raped by three women in a hotel room in Nairobi.

Jackson Ngechu Makini ‘Prezzo’ is reported to have been injected with an overdose of cocaine and Viagra before meeting the untimely twist of events.

Sources say Police in the Kenyan capital are holding the three women for questioning regarding the incident.

“The three women Vivian Mutheu, Patricia Nduta and Ruth Macharia are the suspects behind the evil act and are business partners to the singer,” a police officer at Karen Police Station confirmed.

Cases of male musicians using stimulants to boost their bedroom prowess are rampant in the country. In recent months, Willy Paul was admitted in a Nairobi hospital after he overdosed on spectra, which is 14 times more powerful than Viagra.

Prezzo was some time back rumoured to have been dating Tanzanian singer Amber Lulu, a relationship that ended after she was accused of cheating on the Kenyan rapper.

Chanzo: The Citizen


=====
RAPA mahiri nchini Kenya, Jackson Makini ‘Prezzo’, amekanusha taarifa za kuwekewa dawa za kulevya aina ya Cocaine na Viagra kisha kubakwa na wasichana watatu katika hoteli moja jijini Nairobi.

Hatua hiyo imekuja baada ya baadhi ya vyombo vya habari nchini humo kuripoti kuwa Prezzo amelazwa katika hospitali ya Karen mara baada ya kufanyiwa mkasa huo ambao yeye mwenyewe amekanusha.

Prezzo, alitumia ukurasa wake wa Instagram kukanusha taarifa hizo huku akiahidi kuwachukulia hatua watu wote wenye husuda na mafanikio yake waliohusika kupika habari hizo zenye lengo la kumchafua.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom