Mwanamuziki Prezzo kutoka Kenya amelazwa katika Hospitali ya Karen baada ya kunyweshwa dawa na kubakwa na wanawake watatu. Mwenywe akanusha vikali

Mwanamuziki Prezzo kutoka Kenya amelazwa katika Hospitali ya Karen baada ya kunyweshwa dawa na kubakwa na wanawake watatu. Mwenywe akanusha vikali

Status
Not open for further replies.
Ili mwanaume uweze kushiriki tendo la kikubwa, ni lazima akili iwasiliane na mtambo ili mtambo uweze kufanya kazi.

Sasa katika hali na mazingira kama hayo ya jamaa, mtambo uliweza vipi kutoa ushirikiano?

Sielewi! La, labda walimfanya kinyume na maumbile.
 
Na itakuwa alipigwa na mundende ili turubai iwe wima muda wote
Hapo wanachotaka ni kuzaa naye ili baadae awe anatoa hela ya matunzo kwa mtoto

Akikataa anapelekwa Ustawi wa jamii atatoa kwa lazima

Maisha ni magumu na Wadada wa kikikuyu wanatafuta pesa kwa kila namna

Wabillah Tawfiq,
 
Nasikiaga Cocaine inaliamshe dude27/7 heroine ndiyo unasinzia,duh jamaa kafaidi.
 
Anatafuta kiki huyu.

Mwanaume unabakwa vipi. Yaani alidndsha kabisa halafu anasema kabakwa[emoji3][emoji3]
 
Ili mwanaume uweze kushiriki tendo la kikubwa, ni lazima akili iwasiliane na mtambo ili mtambo uweze kufanya kazi.

Sasa katika hali na mazingira kama hayo ya jamaa, mtambo uliweza vipi kutoa ushirikiano?

Sielewi! La, labda walimfanya kinyume na maumbile.

Havihusiani na akili, wewe hujajikuta dushe limesimama wima ghafla lenyewe tu wala hukuwa na mawazo hayo, sasa huyo kalishwa maviagra na cocaine, hapo hamna cha akili tena, mwili unaendana na mazingira bila ushirikano wako. Kwanza kwa hali hiyo, utakuta wamempa na BJ hadi basi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom