Mwanamuziki Prezzo kutoka Kenya amelazwa katika Hospitali ya Karen baada ya kunyweshwa dawa na kubakwa na wanawake watatu. Mwenywe akanusha vikali

Status
Not open for further replies.
Hehehe asante kwa kuniita ila ni maeneo gani ya Kenya nami nipite pite huko walau nipate mademu wa kunibaka. Afu watatu wote, yaani raha tu kwa kweli.... Mimi hata wasipate tabu ya kuninywesha cocaine, tunakwenda mazima mazima tu.

Kwa hili nawapongezeni mmepiga hatua sana

kwa jambo hili mnapaswa kujivunia na ikiwezekana habari hii uipeleke kwenye ule uzi wa battle kati ya nairob na dar

Ila ntaishangaa serikali ya kenya kama itaweka mkakati wa kuwatia nguvuni hao mabinti
 
Matukio mengine hadi unaona wivu

Mbona mimi kina dada hamni baki

Njooni mnibake jamani nipo hapaaaa

Mje hata sita fresh tuuuuuuu

Sipati picha raha aliyopata prezoooo daaaah
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Hiyo foursome nina mashaka nayo huenda kuna shemale aliunga tela, mchizi hawezi kuwa hoi kiasi hicho
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Nmecheka kisenge,,, kwamba alizuru kwa mzee kipara?!
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Nmecheka kisenge,,, kwamba alizuru kwa mzee kipara?!

Eeh mwanangu si unajua zama za udijitari mpaka mademu sikuhizi nao wanajiita mabaharia. hapo utashangaa jamaa alichezea vidole vya maana

Demu hajui bei ya bible, ila anajua bei ya dildo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…