Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
alivunja mkataba wa fiesta kisa malipoKwanini Aombe Msamaha? ! Kwani alikosea wapi?!
Usiitake maana ni dalili za kuishi kwa matumainiHata mimi nimeona kama kapungua sana nikadhani namchanganya sijui na mwanamziki gan kumbe ni huyu! Doh hio Gym alioenda naitakaa
Kaupata kwa waliokuwa nao.Woooowiii
Yamekuwa hayo tena? !
Kaupata kwa nani sa? !
Hivi umeshapewa ajira na mwenyekiti wa ccm hako kajamaa kafupi ka the mafik hatare sanaRuby nimefurahi kukuona jamani
Umerudi tena kwenye muziki
Karibu sana Mdogowangu
Sauti kama kawaida nyororo, nzuri,laini... doh ama kweli kama ipo ipo tu.
Sasa umeshajifunza mdogowangu...usirudi tena kule walipokufukuza.
Sasa hivi TV na Radio Station Zimeshakuwa nyingi utatoka tu Kimaisha
nasema hiviiiiiiii hili lisura lake haliendani na hiki kisauti kitamu bhaaaaaaaaas si kwa unene au wembamba anasura nzitoKafanya diet ya mwili sio ya sauti
Kuna kipindi niliona ana Wowowo baso lipo au Underwear ilipasuka upepo ukajf is never boring
shemela nauza hizi za kutunisha mawowow zipo na mahips si unaona vile kina hamisa na zari zamani walikuwa bapa sasa vishundu vipo ina maana wanapachika hizi makitu kasheshe ni ukimvua nguo unajijua umepata msambwanda unakuta holaaa
ππππ
Kuna kipindi niliona ana Wowowo baso lipo au Underwear ilipasuka upepo ukapita?
Unauza tena Shemeji?View attachment 789247nauza shemeji