Mwanamuziki Ruby; Karibu tena kwenye Game

Mwanamuziki Ruby; Karibu tena kwenye Game

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Ruby nimefurahi kukuona jamani

Umerudi tena kwenye muziki

Karibu sana Mdogowangu

Sauti kama kawaida nyororo, nzuri,laini... doh ama kweli kama ipo ipo tu.

Sasa umeshajifunza mdogowangu...usirudi tena kule walipokufukuza.

Sasa hivi TV na Radio Station Zimeshakuwa nyingi utatoka tu Kimaisha

Hivi umeshapewa ajira na mwenyekiti wa ccm hako kajamaa kafupi ka the mafik hatare sana
 
Kuna kipindi niliona ana Wowowo baso lipo au Underwear ilipasuka upepo ukajf is never boring
_20170622_195701.JPG

shemela nauza hizi za kutunisha mawowow zipo na mahips si unaona vile kina hamisa na zari zamani walikuwa bapa sasa vishundu vipo ina maana wanapachika hizi makitu kasheshe ni ukimvua nguo unajijua umepata msambwanda unakuta holaaa
🙁🙁🙁🙁
 
Back
Top Bottom