Mbina mi naona ya kawaida sana atiNyimbo nzuri sana
.Anauza taiti za kuongeza makalio muungishe
HahahaAya rudia
Kama Ke sawa Ngoja nitulie nilijua ni Me leo Angeni-ignore.Sijui labda ke
Nilicho kiona ni kuwa kanywa maji mengi kawa mweupe basii.H
HaHahhah aya
Naanza kupenda Mwandiko wako ngoja niongee na Mshana Jr.Ndoroooboee
HahahahahHahahaha
Sio kwamba video color ni black and white jamaa
Sijui anajichubua hivi ngozi nyeupe zina nini sisi tulionazo tunaona kawaidaHahaha a uuuwi
Kana wenge flani hivi ila juzi nimejikuta nimeanza kukapendaRubby kanajua sana ila nakaonaga kama kanavuta bangi mbichi hivi
Uliona ile picha yake walio edit nin wakaweka mkia?Kana wenge flani hivi ila juzi nimejikuta nimeanza kukapenda
Haifunguki asee money p
Nilimuona juzi akihojiwa na shilawadu nikajikuta nimekapenda gaflaUliona ile picha yake walio edit nin wakaweka mkia?
Nipe link ya app maana huko browser huwa situmii
Kuna Jamii forum app, yaan tuna i dowload kwenye store za simuApp gan sa
We bonyeza itakupeleka pahusika
Kawapigia magoti clouds au??Ruby nimefurahi kukuona jamani
Umerudi tena kwenye muziki
Karibu sana Mdogowangu
Sauti kama kawaida nyororo, nzuri,laini... doh ama kweli kama ipo ipo tu.
Sasa umeshajifunza mdogowangu...usirudi tena kule walipokufukuza.
Sasa hivi TV na Radio Station Zimeshakuwa nyingi utatoka tu Kimaisha
Asipige goti ale wapi?