Mwanamuziki Ruby; Karibu tena kwenye Game

Mwanamuziki Ruby; Karibu tena kwenye Game

Nauliza tu jamani hivi huyo ruby ndio yule aliye shrkiana na Abdu chorus inaimbwa
?
''Ohh bebi ayaya,Ohh bebi ayaya.
 
Ruby nimefurahi kukuona jamani

Umerudi tena kwenye muziki

Karibu sana Mdogowangu

Sauti kama kawaida nyororo, nzuri,laini... doh ama kweli kama ipo ipo tu.

Sasa umeshajifunza mdogowangu...usirudi tena kule walipokufukuza.

Sasa hivi TV na Radio Station Zimeshakuwa nyingi utatoka tu Kimaisha


Kawapigia magoti clouds au??
 
Back
Top Bottom