Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Mwanamuziki mkongwe kutoka DRC Kongo, Bozi Boziana amtungia wimbo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuelekea mkutano mkuu wa chama Cha Mapinduzi CCM utafanyika kati ya Januari 18-19, 2025 jijini Dodoma.
Hilo limeelezwa kwa kina na Mwenyekiti wa taasisi ya Mama Ongea Na Mwanao baada ya Mkongwe huyo kutembelea ofisi za taasisi hiyo zilizopo jijini Dar es Salaam leo Januari 08 2024.
Katika mkutano huo utakaoongozwa na mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan