Pre GE2025 Mwanamuziki wa Congo Bozi Boziana atunga wimbo wa maalum wa kumpongeza Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwanamuziki mkongwe kutoka DRC Kongo, Bozi Boziana amtungia wimbo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuelekea mkutano mkuu wa chama Cha Mapinduzi CCM utafanyika kati ya Januari 18-19, 2025 jijini Dodoma.

Hilo limeelezwa kwa kina na Mwenyekiti wa taasisi ya Mama Ongea Na Mwanao baada ya Mkongwe huyo kutembelea ofisi za taasisi hiyo zilizopo jijini Dar es Salaam leo Januari 08 2024.

Katika mkutano huo utakaoongozwa na mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan

View attachment 3195977
Steve unapambana sana jamani, hivi kwanini hawakupi hata ka UKUU wa kitengo!!
 
Mwanamuziki mkongwe kutoka DRC Kongo, Bozi Boziana amtungia wimbo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuelekea mkutano mkuu wa chama Cha Mapinduzi CCM utafanyika kati ya Januari 18-19, 2025 jijini Dodoma.

Hilo limeelezwa kwa kina na Mwenyekiti wa taasisi ya Mama Ongea Na Mwanao baada ya Mkongwe huyo kutembelea ofisi za taasisi hiyo zilizopo jijini Dar es Salaam leo Januari 08 2024.

Katika mkutano huo utakaoongozwa na mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan

View attachment 3195977
Mwaka huu hakuna rangi tutaacha kuona
 
Salama ya Tanganyika ni ccm kuondoka madarakani
 
Bozi akamatwe tu, Rais Samia si mtu wa kumtungia wimbo wowote ule zaidi ya kumsifia kwa ugaidi.
 
Haya ndo yanaharibu nchi yetu. Hilo halikuwa na hata haja ya kulitangaza. Mama yetu Rais anahitaji kuheshimiwa na kutangazwa kwa mambo ya msingi.
Mama yako na nani kenge wewe,huyo ni mama wa abdul fisi wewe kwahiyo mama ya aliekuzaa umemsusia nani paka we
 
Mwanamuziki mkongwe kutoka DRC Kongo, Bozi Boziana amtungia wimbo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuelekea mkutano mkuu wa chama Cha Mapinduzi CCM utafanyika kati ya Januari 18-19, 2025 jijini Dodoma.

Hilo limeelezwa kwa kina na Mwenyekiti wa taasisi ya Mama Ongea Na Mwanao baada ya Mkongwe huyo kutembelea ofisi za taasisi hiyo zilizopo jijini Dar es Salaam leo Januari 08 2024.

Katika mkutano huo utakaoongozwa na mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan

View attachment 3195977
Nyimbo ya nini kwa huyu muuaji? Mnajipendekeza tu wajinga ninyi. Hulka za madikteta zinaeleweka.....wanapenda kusifiwa. Huyo Samia asifiwe kwa kufanya nini? Kuteka na kuua watu wasio na hatia huku Tanganyika????????
 
Mwanamuziki mkongwe kutoka DRC Kongo, Bozi Boziana amtungia wimbo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuelekea mkutano mkuu wa chama Cha Mapinduzi CCM utafanyika kati ya Januari 18-19, 2025 jijini Dodoma.

Hilo limeelezwa kwa kina na Mwenyekiti wa taasisi ya Mama Ongea Na Mwanao baada ya Mkongwe huyo kutembelea ofisi za taasisi hiyo zilizopo jijini Dar es Salaam leo Januari 08 2024.

Katika mkutano huo utakaoongozwa na mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan

View attachment 3195977
Wenye jina lao la ukoo wamesema hawana mtu mjinga kama huyo kwenye ukoo wao. Wanataka atumie jina lake la ukweli. He is not making sense.
 
Kuanzia Gurumo wa Nuta jazz mpaka Masanja wa Twanga wameimba sana kusifia Chama na serikali na kama Mzee Btchuka wameshindwa hata kuwapeleka nje kwa matibabu wengi wamekufa maskini huku waliokuwa wanawasifu wakijenga makasri Dubai na South Africa.
 
Bozi Boaziana kazi yake ni mziki hata Lugumu akimpa hela atamtungia wimbo, kwanza hata Samia mwenyewe hamjui
 
Kuanzia Gurumo wa Nuta jazz mpaka Masanja wa Twanga wameimba sana kusifia Chama na serikali na kama Mzee Btchuka wameshindwa hata kuwapeleka nje kwa matibabu wengi wamekufa maskini huku waliokuwa wanawasifu wakijenga makasri Dubai na South Africa.
Bozi boziana yeye analipwa na CCM hata Samia mwenyewe hamjui
 
Back
Top Bottom