Pre GE2025 Mwanamuziki wa Congo Bozi Boziana atunga wimbo wa maalum wa kumpongeza Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Mwanamuziki mkongwe kutoka DRC Kongo, Bozi Boziana amtungia wimbo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuelekea mkutano mkuu wa chama Cha Mapinduzi CCM utafanyika kati ya Januari 18-19, 2025 jijini Dodoma.

Hilo limeelezwa kwa kina na Mwenyekiti wa taasisi ya Mama Ongea Na Mwanao baada ya Mkongwe huyo kutembelea ofisi za taasisi hiyo zilizopo jijini Dar es Salaam leo Januari 08 2024.

Katika mkutano huo utakaoongozwa na mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan

Your browser is not able to display this video.
 


Rais wa kike? Dooh
 
Ni haibu kumchagua huyu dogo au Haji Manara kuwa wasemaje wa chochote wa serikali au chama kwa sababu hawajitambui.
 
Eti Rais wa kike weeh ndo mbilikimo kweli
 
Imekuwa NONGWA.....,
Watanzania bana, Rais Samia yupo juu sana sana katika kila sekta!
 
Ccm wanajua kufuja kodi zetu, cjui wanampa sh ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…