Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
November 25,2022.
Mahakama moja nchini China imemhukumu mwanamuziki wa zamani wa kundi la K-pop Kris Wu kwenda jela miaka 13 kwa kosa la ubakaji
Mahakama hio ya Beijing ilisema amehukumiwa miaka 11 na miezi 6 kwa kosa la ubakaji alilofanya 2020 na pia imenhukumu mwaka 1 kwa kushiriki katika kuwabaka wanawake wawili akiwa amelewa yeye na wenzake mwaka 2018.
Mwanamuziki huyo ambaye pia ni mwigizaji na mwanamitindo ni mchina mwenye uraia wa Canada atarudishwa nchini kwao atakapomaliza kifungo chake.