Mwanamuziki wa zamani wa K-POP atupwa jela miaka 13 nchini China kwa Ubakaji

Mwanamuziki wa zamani wa K-POP atupwa jela miaka 13 nchini China kwa Ubakaji

dah hivi china nako kuna wasanii[emoji2][emoji2]hawa jamaa sijui huwa nawachukuliaje?
Unajaribu kusema ni mbaguzi.. Au sijakuelewa mkuu?

Watu ni watu boss.. Rangi ya ngozi ama nchi isikufanye ukaona mtu ni bora zaidi au dhaifu zaidi..
 
Wanajiremba sana hawa plus filter za kutosha

Nilitazama ile produce 101
Siku wanayoingia na siku wanayotoka wamebadilika hadi unawapotea

Wanarembwa had bila makeup hawawi comfortable

Nikajua nao wana sura za kiume ila u idol tu
 
Hawa wasanii wa K Pop huwezi kujua yupi wa kike yupi wa kiume, wote wanaonekana kama madoli ya dukani
 
"watu weusi wenye hela hupotezwa kea kutumia kesi ".
 
Nilitazama ile produce 101
Siku wanayoingia na siku wanayotoka wamebadilika hadi unawapotea

Wanarembwa had bila makeup hawawi comfortable

Nikajua nao wana sura za kiume ila u idol tu
Wasipopaka makeup wanajificha sana. Sura zao mbovu kama niliona picha ya jungkook bila makeup plus tecno wereva uwiii hafai
 
Back
Top Bottom