Hafai kubaka mkuu?😅Dah yani huyu jamaa kambaka mtu??? Huyo?! Teh
Jamaa gani mnaowazumngumzia?hawa watu makosa wanafanya kweli,usitake kusingizia NWO,yaani kisa ni watu maarufu ndio waachwe tu waharibu jamiiNew world order is running the world wale jamaa wamejipanga wapo kila sehemu kwenye siasa mahakamani everywhere na hizi kesi kama hizi ndio silaha yao ya mwisho yule jamaa wa squad game wamempa kesi kama hiyo r kelly na mendy hapo hatoki mtu they are none other than the so called secret society.
Mrembo sana, hafai....Hafai kubaka mkuu?😅
Kwa huo urembo naona kama daaaahhhh!!!Mbona kama umeshangaa hivi?kwani hawezi au?
Wanajiremba sana hawa plus filter za kutoshaNi handsome ila kazidisha kujiremba [emoji3]View attachment 2432412
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimewaza km wee eve.Dah yani huyu jamaa kambaka mtu??? Huyo?! Teh