[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ila we jamaa aisee.... kwa mwili huo! Ngumu sana. RIP.
Kila nikiiona ID yako namkumbuka Nelson (Faza Nelly).Ile chorus ya 'Ndoto tata' aliua mbaya[emoji95]
Nadhani Waziri Sonyo ni mtu wa Tanga if i am not mistaken.Wote Ni wazaramo ma born town wa hapa jijiji
Pamoja sana man[emoji2772]Kila nikiiona ID yako namkumbuka Nelson (Faza Nelly).
Ngoja nikaangalie video ya Ushanta then ndio nirudi JF
Hali kadhalika mie huwa najitahidi japokuwa usingizi huwa unanikama ila Ijumaa ndo sikosi saa 4 mpaka saa 7 mchana. (Nakuwa na earphone zangu).sikosagi mkuu nyimbo za zomboko nilivyo kuwa mdogo wazazi na mabro walikuwa wakizisikiliza nilikuwa sizipendi,
Nashangaa nimeanza kuzipenda kipindi hiki kinoma,,,,sijui nimekuwa mzee?
umeanza zeeka mkuusikosagi mkuu nyimbo za zomboko nilivyo kuwa mdogo wazazi na mabro walikuwa wakizisikiliza nilikuwa sizipendi,
Nashangaa nimeanza kuzipenda kipindi hiki kinoma,,,,sijui nimekuwa mzee?
Ina maana unaambukizwa siku hiyo hiyo na kufa hapo hapo?Dahh... Lile nyomi sasa... Mask zote walitupa hukoo..
Nyimbo inaitwa MASIMANGO'Mie bora nirudi kwetu, kule alikobaki kaka, binadamu wa leo utawaweza wapi'
Rest in peace Waziri
Mkuu ile TOT ya banza stone na albamj yake ya elimu ya mjinga ni majungu ilikuwa ni kiboko, african stars walikuwa wanatafuta pa kuhemea, baada ya banza kusepa ndio twanga wakaanza kutamba tena..Huo mpira uliishaje? Labda timu yake haikufanya vizuri.
Nakumbuka huyu dogo alipokua na Komba na Banza stone walivyokua wanajitutumua kujilinganisha na African stars miaka Ile ya 2002 2006 lkn African stars walikua wamewaacha TOT kwa mbaali sana.
Dah ila jamaa alikua na sauti aiseeHuo mpira uliishaje? Labda timu yake haikufanya vizuri.
Nakumbuka huyu dogo alipokua na Komba na Banza stone walivyokua wanajitutumua kujilinganisha na African stars miaka Ile ya 2002 2006 lkn African stars walikua wamewaacha TOT kwa mbaali sana.
Huo mpira uliishaje? Labda timu yake haikufanya vizuri.
Nakumbuka huyu dogo alipokua na Komba na Banza stone walivyokua wanajitutumua kujilinganisha na African stars miaka Ile ya 2002 2006 lkn African stars walikua wamewaacha TOT kwa mbaali sana.
Unamitizamo ya kizandiki kama jiwe.Covid ndio mbakaji wa maisha hapa mjiniBasi mijitu itaanza, ooh, tuchukue tahadhari, ni mwaka upi watu hawakufa?
Inawezekana alikuwa nayo tayari.Shida ni huko kaambukiza wangapi huko mpirani,@,kwenye daladala.R.IP Waziri Sonyo. Halafu wanene inawaondoa faster.Ina maana unaambukizwa siku hiyo hiyo na kufa hapo hapo?
Hivi Abdul Misambano yupo wapi ?TOT ya enzi hizo ilikuwa yamoto. Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe.Unaifahamu TOT Plus iliyokuwa na Sonyo, Banza, Misambano na Toto Tundu!! Kama siyo kusambaratishwa mapema walipotoa album moja tu, hakuna band ingetia mguu pale!!
Twanga walikuja kuwa vyema baada ya kuanza kusambaratisha band zingine na kununua wasanii!! Akamchukua Mwinjuma, Banza, Ado Mbinga ndipo band ikasimama vyema ambapo band pinzani zikajifia!!