warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Leo kupitia conference aliyoifanya, Mwanamzik Diamond aligoma kabisa kuzungumzia scandal ya Baba yake na Mama yake kuhusu ubin wake, na kusema kuwa hayo mambo ni ya chumbani hayupo kwenye position ya kuyazungumzia.
Nadhan mtu ambaye yupo kwenye kipindi kigumu kwa Sasa ni Mama Diamond, wakati anaropoka alijua anaifuraisha jamii , lakin ime turn kuwa vice versa . Moyo wake unavuja sana Damu kwa ushetani aliyoufanya.
At first walimhukumu Baba wa watu kuwa hakumhudumia Diamond hivyo sio Baba bora, wote tukaamini, now again story inakuja Kuwa Baba Diamond Alikua tu mlezi ila Baba mzazi wa Diamond hakua yeye, hayo matope wanayokazana kumpaka Baba wa watu, yatawarudia kwa speed ya 4G.
Nashindwa kuandika warumi mie coz moyo wangu unavuja Damu, yani shamte anamuona wa maana sana kuliko mwanaume aliyemsingizia mimba na akailea? , kama anajua anamdhalilisha Baba Diamond , yupo Mungu atakayemtetea na kumheshimisha. Karma never forgets an address