Kimwerymdodo5
JF-Expert Member
- Feb 10, 2019
- 2,043
- 3,305
kwanini diamond...Diamond mwisho wake utawastaajabisha kila mmoja ndani na nje ya ardhi ya Tanzania.Nimekaa naangalia hii movie ambayo starling lazima afe kwa aibu kubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanini diamond...Diamond mwisho wake utawastaajabisha kila mmoja ndani na nje ya ardhi ya Tanzania.Nimekaa naangalia hii movie ambayo starling lazima afe kwa aibu kubwa
Huyu ni mwandishi Wa kampuni ya global publishers inayomilikiwa na ndugu Eric shigongoWewe kwa udaku haujambo
akikujibu ni tag mkuuWapi kamkana mama yake??
Museveni is a very arrogant human being on this earth.
Mimi pia mkuuSema nmeungana na mwamba mwishoni licha ya udikteta wake mwamba ni pan africanist sana
Kumbe!!!!!Huyu ni mwandishi Wa kampuni ya global publishers inayomilikiwa na ndugu Eric shigongo
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Diamond mwisho wake utawastaajabisha kila mmoja ndani na nje ya ardhi ya Tanzania.Nimekaa naangalia hii movie ambayo starling lazima afe kwa aibu kubwa
Mbea mkuu wa taifa (MBEMKUTA)Leo kupitia conference aliyoifanya, Mwanamzik Diamond aligoma kabisa kuzungumzia scandal ya Baba yake na Mama yake kuhusu ubin wake, na kusema kuwa hayo mambo ni ya chumbani hayupo kwenye position ya kuyazungumzia.
Nadhan mtu ambaye yupo kwenye kipindi kigumu kwa Sasa ni Mama Diamond, wakati anaropoka alijua anaifuraisha jamii , lakin ime turn kuwa vice versa . Moyo wake unavuja sana Damu kwa ushetani aliyoufanya.
At first walimhukumu Baba wa watu kuwa hakumhudumia Diamond hivyo sio Baba bora, wote tukaamini, now again story inakuja Kuwa Baba Diamond Alikua tu mlezi ila Baba mzazi wa Diamond hakua yeye, hayo matope wanayokazana kumpaka Baba wa watu, yatawarudia kwa speed ya 4G.
Nashindwa kuandika warumi mie coz moyo wangu unavuja Damu, yani shamte anamuona wa maana sana kuliko mwanaume aliyemsingizia mimba na akailea? , kama anajua anamdhalilisha Baba Diamond , yupo Mungu atakayemtetea na kumheshimisha. Karma never forgets an address
She's wazungu yaan mtangazaji anatetea homosexualHonestly nimependa sana reactions za Mu7.Amemmudu vyema sana huyo mwandishi.Safi kabisa museven.Bravoo
Museveni is a very arrogant human being on this earth.
Sio wote,mimi sijaisikilizaTuachie ushabiki wa kijinga.. wote tumesikiliza ile press Diamond Nimemsikia Amesema Atafanya Interview maalum kulizungumzia swala hilo.. Amesema press ya leo ni Wasafi tour ya Dar..
tena mbuzi tasa asiyefaa hata kwa ndafuDah bongo kuna watu watu wapumbavu sana naww unaoongoza eti moyo unavuja damu mbuzi kabisa wewe