Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
Kwamba chawa hawaoni au mbona hawapiti
Samia aanze kuiga hili yoweJinsi ilivyokuwa mpaka mwananchi kuzimia mbele ya mbunge baada ya kubomolewa nyumba yake katika manispaa ya Temeke Mbagala -Toangoma
Mwananchi anaelezea alivyompigania mwenyekiti wake wa CCM kushinda uchaguzi lakini baadaye haoni utu wake mpaka nyumba yake imebomolewa..video ya tukio lilivyokuwa nimeiweka chini apo
magoti kashastuka mifumo ipo hovyo sana kaona bora aepushe shari kwa watu wapya.Hapana hili ni tatizo la taifa zima sio la mtu mmoja mwenye maamuzi ya kisiasa
Je sera yetu ya umiliki ardhi na ardhi iliyokwisha endelezwa inasemaje?
Je wizara husika inasemaje
Bado kuna kitu hakisemwi. Wananchi wana tabia ya kuvamia maeneo ya watu. Kuna jamaa yangu huko Bagamoyo wananchi kama kijiji wamevamia eneo lao. Lashinda kesi lakini bado ni minded kuwavunjia ma kuwaondoa.Story ni kuwa kuna boss ameuziwa eneo la wananchi kinyemela
Hajatibu tatizo bali kaliongezamagoti kashastuka mifumo ipo hovyo sana kaona bora aepushe shari kwa watu wapya.
hiyo sera sijaifahamu bado ntaifatilia
Unatumia uchawa ili ulindwe dhidi ya sheria! Unataka mwenye haki anyang'anywe eneo lake kisa umeifanyia kampeni CCM!