Mwananchi alia na kuzimia baada ya kubomolewa nyumba yake Mbagala

Samia aanze kuiga hili yowe
 
Hapana hili ni tatizo la taifa zima sio la mtu mmoja mwenye maamuzi ya kisiasa
Je sera yetu ya umiliki ardhi na ardhi iliyokwisha endelezwa inasemaje?
Je wizara husika inasemaje
magoti kashastuka mifumo ipo hovyo sana kaona bora aepushe shari kwa watu wapya.

hiyo sera sijaifahamu bado ntaifatilia
 
Imekuwaje hapa?
Jamaa kakata moto, inasikitisha.
Hapa usikilizwe na upamde wa pili
 
Story ni kuwa kuna boss ameuziwa eneo la wananchi kinyemela
Bado kuna kitu hakisemwi. Wananchi wana tabia ya kuvamia maeneo ya watu. Kuna jamaa yangu huko Bagamoyo wananchi kama kijiji wamevamia eneo lao. Lashinda kesi lakini bado ni minded kuwavunjia ma kuwaondoa.
 
magoti kashastuka mifumo ipo hovyo sana kaona bora aepushe shari kwa watu wapya.

hiyo sera sijaifahamu bado ntaifatilia
Hajatibu tatizo bali kaliongeza
 
Reactions: Lax
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…