Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Bora huyu mwanamama kasema ukweli mtupu! Maana hawa wanasiasa mida hii wanajua kuzisaka kura kweli kwa njia ila wakizipata wanatokemea kabisa hadi miaka 5 ipite.
================
"sisi hatupendi wawe karibu yetu wanapokuja kuomba kura hata wanapokuwa huko tuwaone tunahitaji mkiwa huko mtuone sio mkifika huko hamtujui ila saivi mnakuwa karibu wazalendo, muwe wazalendo msibadilike kama wenzenu"
Mwananchi wa Kigoma ambaye ni Mfanyabiashara akimwambia Mgombea Ubunge wa jimbo hilo la Kigoma Mjini kupitia ACT Wazalendo ambaye alipita katika soko la mitumba la Mwanga lililopo jimboni hapo.