Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachaga ni watu hatari sana yaaani unamuuwa mama yako mzazi kisa ardhi? Halafu humu munadanganyana eti hawa ndio wife materialMwanamke anayefahamika kwa jina la Getrude Shio mkazi wa Marangu mkoani Kilimanjaro, amedai kuwa amepigwa kofi na mkuu wa wilaya ya Moshi ndugu James Kaji ikiwa ni baada ya kukataa kutoa cheti cha kifo cha mama yake mzazi akiwa ndani ya ofisi ya mkuu wa wilaya hiyo.
Getrude akizungumza na GADI TV amesema yeye na ndugu zake waliitwa katika ofisi ya mkuu wa wilaya hiyo na walipofika alishurutishwa atoe cheti hicho mbele ya dada yake ambaye anadaiwa alihusika na mauaji ya mama huyo kwa tamaa za kutaka eneo la ardhi kwa muda mrefu.
Aidha, Getrude amesema baada ya kukosa maelezo ya kutosha kuhusiana na cheti hicho aligoma kukitoa akiwa na hofu na dada yake hali iliyopelekea mkuu huyo kusimama na kumzaba kofi sehemu ya begani huku akimtolea lugha zisizo za staha.
Katika mahojiano ya mkuu wa wilaya hiyo ndugu Kaji na moja ya chombo cha habari akijibu tuhuma hizo amesema kutokana na kesi inayoendelea kuhusiana tuhuma za mauaji hayo ilihitajika cheti hicho na kuhusu kumpiga mwananchi huyo kofi ameshauri aende mahakamani.
Chanzo: GADI TV
Anajua ni mnyonge hawezi kushindana kuhusu kumpiga mwananchi huyo kofi ameshauri aende mahakamani.
Kama kesi iko mahakamani kwanini DC anashupalia hicho cheti cha kifo? Je ni kwamba hajui sheria?Aidha, Getrude amesema baada ya kukosa maelezo ya kutosha kuhusiana na cheti hicho aligoma kukitoa akiwa na hofu na dada yake hali iliyopelekea mkuu huyo kusimama na kumzaba kofi sehemu ya begani huku akimtolea lugha zisizo za staha.
Wewe daktari pori acha kuichafua Arusha. Kila sehemu duniani ina watu wema na waovu. Umeandika uzi kuwashambulia vijana wa kiume wa Arusha kama vile mikoa mingine kumejaa watakatifu.Juzi niliandika uzi kuelezea jinsi vijana wa Arusha wanavyofurahi wazazi wao wakifa ili warithi mali. Hata wiki haijapita ushahidi umeonekana live
Thread 'Kuna jambo zito linawakabili vijana wa kiume wa Arusha. Msaada wa haraka unatakiwa' Kuna jambo zito linawakabili vijana wa kiume wa Arusha. Msaada wa haraka unatakiwa
Huyu DC si ndiye aliwahi kuwa mkuu wa kitengo cha ulinzi wa rais na pia kamishina jenerali wa mamlaka ya kudhibiti madawa ya kulevya kipindi cha mwenda zake?Huyu DC anaonekana ni mzalendo kabisa sidhani kama ni kweli anaweza kumpiga Kofi huyo mama.maana wachaga wanakuwaga mabingwa wa kusingizia na kupiga majungu