Mwananchi Arusha adai ametukanwa na kuchapwa makofi na Mkuu wa Wilaya ya Moshi, DC asema "aende Mahakamani"

Amefanya makosa sana,angejizuia tu hasira si kitu kizuri.

Japo ukiangalia mishipa inavyomsimama mjane shingoni inaonesha anaongea sana...bila subira hutoboi
 
Wachaga ni watu hatari sana yaaani unamuuwa mama yako mzazi kisa ardhi? Halafu humu munadanganyana eti hawa ndio wife material
 
Kwanini aseme aende mahakamani baada ya kumpiga?
Kwanini asiseme mwanzo kesi iende mahakamani?
 
Aidha, Getrude amesema baada ya kukosa maelezo ya kutosha kuhusiana na cheti hicho aligoma kukitoa akiwa na hofu na dada yake hali iliyopelekea mkuu huyo kusimama na kumzaba kofi sehemu ya begani huku akimtolea lugha zisizo za staha.
Kama kesi iko mahakamani kwanini DC anashupalia hicho cheti cha kifo? Je ni kwamba hajui sheria?
 
Huyu DC anaonekana ni mzalendo kabisa sidhani kama ni kweli anaweza kumpiga Kofi huyo mama.maana wachaga wanakuwaga mabingwa wa kusingizia na kupiga majungu
 
DC anakitaka cheti cha kazi gani wakati kesi iko mahakamani?
 
Wewe daktari pori acha kuichafua Arusha. Kila sehemu duniani ina watu wema na waovu. Umeandika uzi kuwashambulia vijana wa kiume wa Arusha kama vile mikoa mingine kumejaa watakatifu.
 
Huyu DC anaonekana ni mzalendo kabisa sidhani kama ni kweli anaweza kumpiga Kofi huyo mama.maana wachaga wanakuwaga mabingwa wa kusingizia na kupiga majungu
Huyu DC si ndiye aliwahi kuwa mkuu wa kitengo cha ulinzi wa rais na pia kamishina jenerali wa mamlaka ya kudhibiti madawa ya kulevya kipindi cha mwenda zake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…