Mwananchi ashangaa Tume kusema Vijana walilipwa bila kutaja aliyewalipa

Na hapo ndipo utakapogundua hiyo taarifa ni ya kupikwa. Eti walijua mpaka makambi yao, lakini hatujasikia wakikamatwa au wenye nyumba zilizowahifadhi hao vijana zikitajwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…