Wakurya nawakubali sana. Wamenyoka sana.Ila wakurya hawana cha kupoteza
Hamna kazi nyie,limeni masika hii,siyo November mlaumu serikali njaa Kali vyakula bei juuWenye line za airtel pigeni 100 customer care akikuuliza tukusaidie nini mwambie kwanini mmeifunga line ya Brenda Rupia.
Tukifanya hivi kwa siku nzima lazima ujumbe wataupata.
Ulitaka aache kuuliza.Sasa alitaka ajibiwe nini na huyo Customer Care yaani miCDM ya sasa hivi akili sijui imepeleka wapi?
Sasa alitaka ajibiwe nini na huyo Customer Care yaani miCDM ya sasa hivi akili sijui imepeleka wapi?
We unaona huyo jamaa ana akili timamu?Ulitaka aache kuuliza.
Alijua atakachojibiwa na alitaka ujumbe ufike.
Umekasirikia nini wewe uvccm