matonyamswanu
JF-Expert Member
- Dec 7, 2025
- 358
- 433
Ungempelekea moja kwa moja Lissu hiyo hela inayokuuma, umpe huko gerezani.Airtel wako sahihi, baadhi ya wanachadema wamemfanya lissu mtaji wao ni kuanzisha tu michango, ikipatikana milioni 10, tano wanakula na tano ndo wanakabidhi chama!!
Kama unampenda Lissu au kumhurumia, nenda gerezani mpe hata mia Tano yako, atapokea.
Vinginevyo tunajua umefurahia line kufungiwa, na kesho mnaropoka chama hakijitangazi, huku mkitumia kila ushetani kuwabana.