matonyamswanu
JF-Expert Member
- Dec 7, 2025
- 358
- 433
Ungempelekea moja kwa moja Lissu hiyo hela inayokuuma, umpe huko gerezani.Airtel wako sahihi, baadhi ya wanachadema wamemfanya lissu mtaji wao ni kuanzisha tu michango, ikipatikana milioni 10, tano wanakula na tano ndo wanakabidhi chama!!
Kijana utakuwa na mwisho mbaya sana. Mark my wordSasa alitaka ajibiwe nini na huyo Customer Care yaani miCDM ya sasa hivi akili sijui imepeleka wapi?
Hii imekaa vizuri. Ianzishwe kampeni ya kutupa jalalani line za airtelWakuu,
Kweli watu tumevurugwa, yaani jamaa kaamua kupiga simu kabisa hawa machawa 😂
Haya sasa kampeni ianze kufanya kazi kwa wote wenye laini ya airtel 😂
Baada ya CHADEMA kutoa taarifa kuwa laini ya Brenda Rupia ya Airtel iliyokuwa ikipokea michango imefungiwa ghafla na kampuni hiyo ya simu, mjadala mkubwa uliibuka mitandaoni. Wananchi wengi walitaka kufahamu sababu halisi ya hatua hiyo ya Airtel, huku wengine wakituhumu kuwa kampuni hiyo inatumiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kama njia ya kuikandamiza CHADEMA.
Soma pia CHADEMA: Namba ya simu ya Brenda Rupia iliyokuwa ikitumika kuchangisha michango imefungiwa na kampuni ya Airtel
Wao Airtel inawahusu nini?kazi yao ni kuuza laini,kuuza vocha na kuhifadhi pesa za wateja,habari ya pesa imepatikanaje sio kazi yaoAirtel wako sahihi, baadhi ya wanachadema wamemfanya lissu mtaji wao ni kuanzisha tu michango, ikipatikana milioni 10, tano wanakula na tano ndo wanakabidhi chama!!
Airtel pia watawajibika kama utapeli utafanyika kupitia mtandao wao, yaani Airtel wanaona kabisa miamala iliyofanyika ni milioni 10 lkn inatangazwa milioni 5 sasa hapo kwanini waendelee ku-promote utapeli badala ya kuzuia utapeli?Wao Airtel inawahusu nini?kazi yao ni kuuza laini,kuuza vocha na kuhifadhi pesa za wateja,habari ya pesa imepatikanaje sio kazi yao
Tuchukulie uko sahihi, je suala hilo la kuchukua pesa linawahusu Airtel? Huu use@nge mmezaliwa nao au mmeauanza ukubwani?Airtel wako sahihi, baadhi ya wanachadema wamemfanya lissu mtaji wao ni kuanzisha tu michango, ikipatikana milioni 10, tano wanakula na tano ndo wanakabidhi chama!!
Linawahusu ndio na tena sio pekee tu, mtu yeyote au taasisi yoyote kama kuna utapeli unafanyika kupitia yeye na akafahamu kabisa lkn akanyamaza, basi tafsiri yake na yeye atakuwa anasapoti utapeli!!Tuchukulie uko sahihi, je suala hilo la kuchukua pesa linawahusu Airtel? Huu use@nge mmezaliwa nao au mmeauanza ukubwani?
Lete barua ya aliyechangia akiwataka Airtel waifunge hiyo namba.Linawahusu ndio na tena sio pekee tu, mtu yeyote au taasisi yoyote kama kuna utapeli unafanyika kupitia yeye na akafahamu kabisa lkn akanyamaza, basi tafsiri yake na yeye atakuwa anasapoti utapeli!!
Sio lazima kuwepo na barua ya mtu kulalamika, Airtel wenyewe wakijiridhisha kuwa miamala inasoma milioni 10 lkn imetangazwa milioni 5 so hawatasubiri mpaka mtu aandike barua, wanafunga moja kwa moja tu.Lete barua ya aliyechangia akiwataka Airtel waifunge hiyo namba.
mi airtel waliniacha hoi baada ya kununua sms 5000 kwa siku 15 halafu haikupita hata wiki sms zikakata! Nikanunua tena mambo yakawa yaleyale! Nikaamua kukopa na nimeacha kuitumia laini yao! Nangoja waifungie!Nawataarifu marafiki kuifuta usajili namba ya Airtel na kuwapa namba mpya.
Utakuja kuliwa jicho kwa huu use@nge wako dogo.Sio lazima kuwepo na barua ya mtu kulalamika, Airtel wenyewe wakijiridhisha kuwa miamala inasoma milioni 10 lkn imetangazwa milioni 5 so hawatasubiri mpaka mtu aandike barua, wanafunga moja kwa moja tu.
Hii haiwahusu airtel.Airtel wako sahihi, baadhi ya wanachadema wamemfanya lissu mtaji wao ni kuanzisha tu michango, ikipatikana milioni 10, tano wanakula na tano ndo wanakabidhi chama!!
Wazuie wao kama nani? Hela inayoingia kwenye simu ya mtu haiwahusu kama kuna jinai polisi si wapo?mi airtel waliniacha hoi baada ya kununua sms 5000 kwa siku 15 halafu haikupita hata wiki sms zikakata! Nikanunua tena mambo yakawa yaleyale! Nikaamua kukopa na nimeacha kuitumia laini yao! Nangoja waifungie!
umesahau yale ya TIGO na lisu? Wakitishiwa kusitishiwa leseni hapa nchini, wanakubali kufanya ccm wanachotaka!Wazuie wao kama nani? Hela inayoingia kwenye simu ya mtu haiwahusu kama kuna jinai polisi si wapo?
Ndio maana tunakemea.umesahau yale ya TIGO na lisu? Wanakitishiwa kusitishiwa leseni hapa nchini, wanakubali kufanya ccm wanachotaka!
TuisusieWakuu,
Kweli watu tumevurugwa, yaani jamaa kaamua kupiga simu kabisa hawa machawa 😂
Haya sasa kampeni ianze kufanya kazi kwa wote wenye laini ya airtel 😂
Baada ya CHADEMA kutoa taarifa kuwa laini ya Brenda Rupia ya Airtel iliyokuwa ikipokea michango imefungiwa ghafla na kampuni hiyo ya simu, mjadala mkubwa uliibuka mitandaoni. Wananchi wengi walitaka kufahamu sababu halisi ya hatua hiyo ya Airtel, huku wengine wakituhumu kuwa kampuni hiyo inatumiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kama njia ya kuikandamiza CHADEMA.
Soma pia CHADEMA: Namba ya simu ya Brenda Rupia iliyokuwa ikitumika kuchangisha michango imefungiwa na kampuni ya Airtel
Sheria zenu zina loophole, zinawaruhusu kuchokono huko na pia wana hisa za kuzidi kwenye hii mitandao.Hivi kuna watu bado wanatumia Airtel, hawaaminiki, kwa nini wanafungia namba kwa maelekezo ya CCM.
Wote watakaofanya hivyo wataingia kwenye orodha ya mafelweWenye line za airtel pigeni 100 customer care akikuuliza tukusaidie nini mwambie kwanini mmeifunga line ya Brenda Rupia.
Tukifanya hivi kwa siku nzima lazima ujumbe wataupata.
Wewe chawa, kuna mafisadi Tanzania kama ccm au unajizima data tu?Linawahusu ndio na tena sio pekee tu, mtu yeyote au taasisi yoyote kama kuna utapeli unafanyika kupitia yeye na akafahamu kabisa lkn akanyamaza, basi tafsiri yake na yeye atakuwa anasapoti utapeli!!