Mwananchi awapigia Airtel kuwahoji kwanini wamefungia line ya Brenda Rupia iliyokuwa ikipokea michango ya CHADEMA

Wenye line za airtel pigeni 100 customer care akikuuliza tukusaidie nini mwambie kwanini mmeifunga line ya Brenda Rupia.

Tukifanya hivi kwa siku nzima lazima ujumbe wataupata.
Chap nawapigia sahiv
 
Short And Clear...
Kmmkee
 
Airtel pia watawajibika kama utapeli utafanyika kupitia mtandao wao, yaani Airtel wanaona kabisa miamala iliyofanyika ni milioni 10 lkn inatangazwa milioni 5 sasa hapo kwanini waendelee ku-promote utapeli badala ya kuzuia utapeli?
Sio kazi yao hiyo.
Yaani baada ya kupokea pesa yako kwenye akaunti yako inabidi waanze kufuatilia umbea kwenye social media kujua unajinadi vipi?hiyo haiwahusu ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…