Mwananchi: Hatumtaki Mwenyekiti, aliingia madarakani kwa chenga chenga na Hatukumpigia kura

Mwananchi: Hatumtaki Mwenyekiti, aliingia madarakani kwa chenga chenga na Hatukumpigia kura

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mmoja wa wananchi waliopata kuongea mbele ya Waziri Mkuu, leo Julai 04, 2026, katika kijiji cha Suguti-Musoma Vijijini, ameeleza kuwa Mwenyekiti wao hakuchaguliwa kwa kura na kuomba serikali ya kijiji ivunjwe.

"Mwenyekiti anapenda kutumia mamlaka aliyo nayo kutunyanyasa. Aliingia madarakani kwa chenga chenga tu, hakuingia kwa kupigiwa kura. Hatukumpigia kura, uongozi wake na baraza lake livunjwe, tuchague upya siyo kiongozi wetu halali huyu."
 
Back
Top Bottom