Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
Mwananchi Juma wa Mvumi amemshukuru Waziri Mkuu, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, kupitia Mbunge wa Jimbo la Mvumi, kufuatia agizo la Waziri Mkuu alilolitoa katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mvumi Mission kutekelezwa.
Juma ameeleza kuwa baada ya agizo hilo, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imemrudishia gari lake na kulifanyia matengenezo, ambapo kwa sasa gari hilo limeanza kutumika tena barabarani.
Aidha, amemuomba Mbunge wa Jimbo la Mvumi kufikisha salamu zake za shukrani kwa Waziri Mkuu kwa hatua hiyo.