Kitu_Kizito_Kichwani
JF-Expert Member
- Sep 8, 2010
- 204
- 133
Kashfa nzito
"Unakuta mwanafunzi anaeleza anavyolishangaa Bunge… mtu anaandika… nawashangaa wabunge, wamekaa kama wapo kijiweni, wabunge wamekosa ustaarabu, badala kujadili kero za wananchi waliowachagua, wanapokea timu zilizoshinda makombe… timu ikishinda Kombe la Kagame inapokelewa bungeni. Bunge limekuwa kama kijiwe, bungeni siyo ukumbi wa starehe kama mnataka kupokea timu hizo nendeni katika ofisi zao au viwanjani…" alisema.
................denti huyu anayoakili sema mfumo tu umemuharibia maisha
Kashfa nzito
Unakuta mwanafunzi anaeleza anavyolishangaa Bunge mtu anaandika nawashangaa wabunge, wamekaa kama wapo kijiweni, wabunge wamekosa ustaarabu, badala kujadili kero za wananchi waliowachagua, wanapokea timu zilizoshinda makombe timu ikishinda Kombe la Kagame inapokelewa bungeni. Bunge limekuwa kama kijiwe, bungeni siyo ukumbi wa starehe kama mnataka kupokea timu hizo nendeni katika ofisi zao au viwanjani alisema.
................denti huyu anayoakili sema mfumo tu umemuharibia maisha
tena ni genius.... Wangemfaulisha tu tena kwa distinction!
Hii ni nchi ya miujiza... Naamini wizara iliamini kuwa watashukiwa na roho mtakatifu na kupata ufahamu wa mambo ambayo hawajawahi kuyasikia. Only in Tanzaniasasa mtoto hajui biology ,hajawai kusikia toka form one hilo neno leo unamletea mtihani ajibu nini?
aote ?
mtoto toka anaingia form one anafundishwa civics na kiswahili ila siku ya paper analetewa chemistry biology ,physics hata mwalimu wa hayo masomo hajawai kumsikia na shule ni mpya? wanafunzi wanadhani ni [paper za kenya zimekosewa kuja tz kumbe zinawahusu wao
kila shule itungiwe paper yake kutokana na masomo na walimu waliopoHii ni nchi ya miujiza... Naamini wizara iliamini kuwa watashukiwa na roho mtakatifu na kupata ufahamu wa mambo ambayo hawajawahi kuyasikia. Only in Tanzania
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
... Yawezeka ikawa ni afla ya serikali ya ccm...