Mwananchi: Kashfa nzito "michoro ya ZOMBI amesahau viatu & Mess"

Mwananchi: Kashfa nzito "michoro ya ZOMBI amesahau viatu & Mess"

Kashfa nzito



"Unakuta mwanafunzi anaeleza anavyolishangaa Bunge… mtu anaandika… nawashangaa wabunge, wamekaa kama wapo kijiweni, wabunge wamekosa ustaarabu, badala kujadili kero za wananchi waliowachagua, wanapokea timu zilizoshinda makombe… timu ikishinda Kombe la Kagame inapokelewa bungeni. Bunge limekuwa kama kijiwe, bungeni siyo ukumbi wa starehe kama mnataka kupokea timu hizo nendeni katika ofisi zao au viwanjani…" alisema.


................denti huyu anayoakili sema mfumo tu umemuharibia maisha
 
Suluhisho c waziri kujiuzulu coz it won't change anything ht kwa huyo atakaekuja!!wot I cn say ni kwmb ni mfumo mzima uptiwe upya including Madai ya waalim,kuboresha mazingira ya kazi
 
This is a disaster and a nation in a Crisis, ndugu zangu hii trend inalipeleka Taifa letu kubaya. Ni kweli Serikali na mitaala ni matatizo makuu katika hili, na sitawasahau wanafunzi na wazazi ktk tatizo hili kwani nao wana role yao ktk ubaya huu wa matokeo. Mwisho, je Mimi na wewe tunafanya/tutafanya nini? Tutaacha tu na kutoa lawama na kujifanya hatuhusiki? Mabadiliko ya elimu TZ yanatuhitaji wote. Kama ni kuwawajibisha watendaji na ikiwezekana tuache kubishania div one zetu kisiasa na kiitikadi na kuingia mzigoni (in our free time off course) ktk kuwapa elimu vijana, wadogo na watoto wetu kote Nchini. Pole kwa vijana wote waliofeli n plz tuwe nao karibu, tuwape ushauri na tuwaweke mbali na vitu vyenye kudhuru na kutoa uhai.
 
Kashfa nzito



“Unakuta mwanafunzi anaeleza anavyolishangaa Bunge… mtu anaandika… nawashangaa wabunge, wamekaa kama wapo kijiweni, wabunge wamekosa ustaarabu, badala kujadili kero za wananchi waliowachagua, wanapokea timu zilizoshinda makombe… timu ikishinda Kombe la Kagame inapokelewa bungeni. Bunge limekuwa kama kijiwe, bungeni siyo ukumbi wa starehe kama mnataka kupokea timu hizo nendeni katika ofisi zao au viwanjani…” alisema.


................denti huyu anayoakili sema mfumo tu umemuharibia maisha

tena ni genius.... Wangemfaulisha tu tena kwa distinction!
 
sasa mtoto hajui biology ,hajawai kusikia toka form one hilo neno leo unamletea mtihani ajibu nini?
aote ?
Hii ni nchi ya miujiza... Naamini wizara iliamini kuwa watashukiwa na roho mtakatifu na kupata ufahamu wa mambo ambayo hawajawahi kuyasikia. Only in Tanzania



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
CHADEMA hii ni nafasi nyingine ya kuuthibitishia uma wa waTanzania juu ya udhaifu wa serikali ya CCM, ambayo ndiyo yenye ilani inayotekelezwa kwa sasa!

Nashauri yaandaliwe maandamano makubwa na kutumia nafasi hii kuzidi kukiadhibu CCM kilichoshindwa kazi!

Chadema kikitumia nafasi hii tena, kitawavuta siyo tu wanafunzi hao waliomaliza darasa la saba, ambao ni wapiga kura wa kesho, bali pia wazazi wao, ndugu zao, marafiki zao, na taifa kwa ujumla!
 
Nina uhakika wangeeambiwa wachore Bunsen Burner wangeishia kuchora viungo vyao vya Uzazi....
CC: zumbemkuu
MANI
mtoto toka anaingia form one anafundishwa civics na kiswahili ila siku ya paper analetewa chemistry biology ,physics hata mwalimu wa hayo masomo hajawai kumsikia na shule ni mpya? wanafunzi wanadhani ni [paper za kenya zimekosewa kuja tz kumbe zinawahusu wao
kwanini wasichore k?
 
Hivii kama mtoto hakufundishwa somo husika una tegemea ata jibu nini? Lugha nayao ina changia, shule zote za kata 1-7 mtoto anatumi kiswahili, sekondari ana kutana na english kwa muda wa miaka 4 mtoto hawezi kuambua kitu. Nashauri itumike lugha moja ya kufundishia primary hadi secondary.
 
Hii ni nchi ya miujiza... Naamini wizara iliamini kuwa watashukiwa na roho mtakatifu na kupata ufahamu wa mambo ambayo hawajawahi kuyasikia. Only in Tanzania



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
kila shule itungiwe paper yake kutokana na masomo na walimu waliopo
shule serikali imepeleka mwalimu wa civics na kiswahili unapelekaje mtihani wa biology na chemistry huko? au physics ? tena unapeleka na paper ya practical
useless system kwa kweli
 
Ndio haya haya Mbatia anayazungumza kila kukicha serikali inamuona kama anaimba hivi...! hakuna uwajibikaji
 
Hawajali chochote hawa wao wanachojua ni kuwa Dr.Slaa hana baba, Mbowe ni DJ na kaishia darasa la 12(form four) basi. Hawataki kushughulikia matatizo ya walimu,wafanyakazi wa afya nk.
 
Mwanafunzi swali la kwanza kaandika;
Dushelele! shele! shele! dusheleleh oh!
Kaazi kweli ila kwa kuwa tunasema mziki ni ajira basi mimi nadhani huyu atakuwa amepata elimu inayomuwezesha kujiajiri badala ya elimu ya vyeti.Sijui ninyi wenzangu!
 
Back
Top Bottom