Responded Mwananchi Katavi ahoji umeme kukatika wakati wameunganishwa Gridi ya Taifa, TANESCO yafafanua

Responded Mwananchi Katavi ahoji umeme kukatika wakati wameunganishwa Gridi ya Taifa, TANESCO yafafanua

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Wananchi katika kikao kilichofanyika Septemba 4, 2026 cha ushauri Wilaya ya Mpanda (DCC) wamehoji sababu ya umeme ndani ya Manispaa ya Mpanda kila inapofika Saa 11 Jioni na Saa mbili usiku umeme hukatika na kukaa gizani ili hali Mkoa wa Katavi hivi sasa umeunganishwa na Gridi ya Taifa.

Afisa Huduma kwa Wateja wa TANESCO Mkoa wa Katavi, Mary Ngole akijibu hoja hiyo amesema ongezeko la matumizi ya umeme husababisha transfoma kuzidiwa wakati huo wa Saa 11 Jioni na Saa 2 Usiku, hivyo TANESCO hulazimika kufanya mgao kwa maelekezo kutoka makao makuu ya TANESCO.

Pia soma:
~
TANESCO Mpanda wanakata umeme ovyo
~ Watu wa Katavi tunahangaika, umeme hakuna
~ TANESCO Mkoa wa Katavi mmepatwa na nini, mbona kila siku mnakata umeme ifikapo saa mbili kasoro usiku?
 
Back
Top Bottom