GE2025 Mwananchi Kigoma: Kuna viongozi walipita na elimu zao na hatukufaidika, Tunamtaka Baba Levo

GE2025 Mwananchi Kigoma: Kuna viongozi walipita na elimu zao na hatukufaidika, Tunamtaka Baba Levo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Kigoma kunazidi kuchangamka leo wananchi wanataka kumpeleka chawa bungeni baadae watalia hela zote za miradi zikipelekwa kwenye kujenga Maghorofa ya Baba Levo :Alien: :Alien: :Alien: :Alien:

------------
"Kuna watu wamekaa kwenye madaraka zaidi ya miaka 10 hadi 15 na wamesoma lakini hatujafaidika na elimu zao, kwahyo kwa sasa hivi tunamuhitaji Baba Levo kuliko yeye anavyotuhitaji na tutamchagua"- amesema mwananchi wa Jimbo la Kigoma Mjini


 
Ni sahihi,tz uprofesa ni mavi tu

Nenda jimbon kwa msukuma ndo utaamin uongoz sio elimu
 
Back
Top Bottom