Mwananchi: Kwenye daftari la mazishi ya vifo vya COVID19 Jina la babangu lilikuwa namba 256 (Amana Hospital-Ilala)

Udaku tu huu
 
Sasa 256 ndio wanatushadadia namna hii? Mbona USA kuna vifo zaidi ya 80,000?

Magu voice

Upumbavu ni mzigo mzito kuliko gunia la mahindi.

Kila kifo lazima kiepukwe kwa njia zote. Ninadhani hujafiwa, ingekuwa hivo ungeona mtu mmoja huyo ana thamani kuliko hao 80,000 usiowafahamu.

Watoto wa siku hizi sijui mna nini kichwani!!
 
Wagonjwa wote wa ilala na wazima kwa tar hio hawafiki io idad Sasa inakuaje vifo vinatokea ivyo vyote izo ni propaganda tu na uzushi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
jitahidi uninukuu mimi,wacha uoga kujibu maswali.

hiyo nyuki na maji ya moto hujaelewa kama ni mfano??halafu kwa akili hizo unataka uhoji usahihi wa taarifa za wafu 256 wilaya ya ilala!!!

tuna taifa lenye watu wenye uwezo wa kufuga vitambi tu.
 
Hizo taarifa nizakweli 100%

"Chausiku mupenzi haya yanayokusumbua kama ni maradhi , Yapeleke kwa daktari Mimi siko tiyari kuliacha rumba kwa ajili yako"
 
serikali ndio yenye kutoa taarifa.

isipotoa ukahisi unaweza kumwamini mhuni mwingine mtaani huko ni wewe tu.
 
Huu sasa inaelekea kua upumbafu uliokithiri haiwezekani hata kidogo japo hatukatai data zinafichwa eti wilaya moja iwe na vifo 250 kweli
vido 256 tena ni taarifa za mwezi april,now watakwambia watu 870 ilala pekee.

naskia miili inachomwa haizikwi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
We taarifa zemukusaidia nini? Ikiwa huchukuia tahadhali kuilinda nafsi yako na familia yako unasubilia taarifa zikusaidie nini? Taarifa walizotoa hazikutoshi mpaka upewe zipi?
 
Neno la Mungu linasema, Shetani ni kama simba angurumaye, sio simba angurumaye. Mngurumo wa simba ni kwa ajili ya kuogopesha watu au mawindo yake. Sasa mmeamua kutuogopesha. Mmeshaweza kuwarubuni Zambia wafunge mipaka, Kenya weshafunga, Uganda watatangasa. Yote ni sawa kabisa kabisa ila, Hatuyumbishwi na kuomba msaada huo wenyu. Mabeberu mnazo njia nyingi sana ila Mola atatuvusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…