Mwananchi: Kwenye daftari la mazishi ya vifo vya COVID19 Jina la babangu lilikuwa namba 256 (Amana Hospital-Ilala)

Mwananchi: Kwenye daftari la mazishi ya vifo vya COVID19 Jina la babangu lilikuwa namba 256 (Amana Hospital-Ilala)

Watu wanamchukulia poa KGG kwa kutoa taarifa za watu waliokufa na KORONA ila takwimu alizozitoa jana ni kwamba mpaka sasa watu 1293 wameshakata moto kwa covid19 ,,DSM na Atown zinaongoza na nimeongea na jamaa yangu wa njiro anasema ni hatari kitaani kwao wamepukutika kwa corona.

Kuficha ndio kunazidi kutuangamiza maana watu wanachukulia poa,kinga ya mwili haingalii umri,watu wana magonjwa nyemelezi mengi tu,ukipata kovid na ikakukuta na kinga dhaifu/magonjw nyemelezi % kubwa lazima itambae na wewe!!
Huyo KGG ndio nani? Babaako? Hao watu 1200 mmewazika majumbani mwenu? Hawana ndugu?
Pumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu wataalamu wa afya watuambie, mtu kufa kwa ugonjwa wowote sio natural death?

Nafikiri tofauti na natural death, sababu nyingine inaweza ikawa kujiua, kuuwawa, ajali na vifo vingine ambavyo si vya kiasili. Kama kafa kwasababu ya ugonjwa wa korona, hiyo nafikiri ni natural death. Angekuwa kanyongwa, halafu madaktari wakasema ni natural death, tatizo hilo.
siku hizi mtu asife basi hiyo ni corona.

na mods wako mbioni kuanzisha jukwa la vifo soon.
 
Kigogo kasema baba yake mdogo Paul makonda kafa kwa korona Leo anaitwa josephat bashite
 
Wewe umeshuhudia misiba migapi mtaani kwako maana usisusubili kwenye daftali, uliyoona kwa macho yako? Na kwanini wawe wao tu na wewe kwa nini hujafa?
Siku hizi kuna kushuhudia misiba wakati wanazika usiku.
Ndugu chukua tahadhari corona inaua
 
Back
Top Bottom